Angalia hapa picha za washiriki wa mafunzo ya ujasiliamali yaliyofanyika Mkoani Singida Katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii (FDC)
Hapo ni picha ya Mgeni Rasmi Mh.Hana Churi katikati akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa Mafunzo. Picha na. Sylvester Richard
Hapo juu ni picha ikimuonyesha Mgeni Rasmi Mh.Hana Churi watatu kutoka kushoto akionyeshwa bidhaa iliyotengenezwa na wajasiliamali wa Singida waliohudhuria Mafunzo. Picha na. Sylvester Richard.
Hapo juu ni picha ikimuonyesha Ndg. Happy Francis Mratibu wa VICOBA Mkoani Singia akiwa katika mahojiano na Mtafiti wa ujasiliamali. Picha na. Sylvester Richard
Hapo ni picha ya Mgeni Rasmi Mh.Hana Churi katikati akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa Mafunzo. Picha na. Sylvester Richard
Hapo ni picha ya ikimuonyesha mmoja wa wajasiliamali akipokea Cheti baada ya mafunzo kumalizika. Picha na Sylvester Machibya
Katika picha ni Sufiani Makando kutoka SUA mwezeshaji katika mambo ya kilimo akitoa mada kwa wajasiliamali. Picha Sylvester Richard
Pichani ni Bidhaa iliyotengenezwa na wajasiliamali waliohudhuria mafunzo. Picha na. Sylvester Richard
Pichani ni Gaudensia leodonatte @ Mama Mchoteka kutoka SUA mwezeshaji katika masuala ya kilimo na lishe akifundisha somo la uandaaji wa tomato paste kwa wajasiliamali katikaChuo Cha Maendeleo ya Jamii Singida (FDC)
Toa maoni yako kupita anwani zifuatazo
E mail; sylvestermac87@gmail.com
machibya.richard@yahoo.com
Faceboo; Machibya Richard
sim no. 0768 367 454
0652 683 063
No comments