Haya hapa majina ya abiria waliopata majereha katika ajali
iliyotokea Mkoani Singida katika Wilaya ya Manyoni ikishirikisha mabasi
mawili ya kampuni ya CITY BOYS.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Thobias G. Sedoyeka, Majina ya Majeruhi katika
ajali iliyotokea Mkoani Singida katika Wilaya ya Manyoni ikihusisha
mabasi mawili ya kampuni ya CITY BOYS ni
kama ifuatavyo;
1.Faraja s/o Mleke, (32),Mpogolo, Mkulima , Mkazi wa
Nzega, Amepata Majeraha Kichwani na
Kuvunjika Mkono wa Kushoto. 2. Abdal s/o Ally, (30), Msukuma, Mkulima, Mkazi wa
Nzega, amevunjika mguu wa Kulia na Majeraha Kichwani, 3. Veronica d/o
Furahisha, (30), Mkulima, Mkazi wa Kahama, amepata majeraha kwenye goti na Mkono
wa Kulia. 4. David s/o Shumbi , (25) , Mnyiramba, Mfanyabiashara, amepata
majeraha usoni. 5. Jamila d/o Mathias,
(25), Msukuma, Mkulima, amepata majeraha
mwili mzima. 6. Frank d/o Maraku (29) ,
Mkulima, Mkazi wa Kahama amepata majeraha usoni. 7. Subira d/o Joackim (20),
Mmasai Mkulima mkazi wa Arusha, amepata majeraha kichwani na Mkono wa Kulia
8.Beatrice d/o Bazo (23),Mpemba , Muuguzi na Mkazi wa Arusha amepata majeraha
usoni. 9. Hussein s/o Hassan (18), mnyamwezi, Mkulima , Mkazi wa Tabora amepata
majeraha kichwani 10. Matogoro s/o Kagunga (29), Msukuma, Mkulima, amepata
Majeraha na amevunjika bega la Kushoto. 11. Kassian s/o Komba (30) , Mngoni,
Mwalimu na Mkazi wa Dar es salaam
amevunjika bega la kulia 12. Juma s/o Kassim (34), Mdigo, Mfanyabiashara Dar es Salaam, amepata
maumivu kwenye mbavu na mkono wa kulia.
Wengine ni 13. James s/o
Solomon (36), Mnyiramba ,Mfanyabiashara, Mkazi wa Shelui, amevunjika Mkono wa
Kulia . 14. Monica d/o Paul (20), Msukuma, Mkulima, Mkazi wa kahama amepata
majeraha kichwani. 15. Anastazia d/o James (42) , Msukuma, Mfanyabiashara na
mkazi wa Kahama amepata Jeraha katika paji la uso na amevunjika Mguu wa
kushoto. 16. Kulwa d/o Masiani, (57) msukuma , Mfanyabiashara na Mkazi wa
Kahama amepata majeraha usoni 17. Frank s/o Marima (33) , Msukuma, Mkulima,
Mkazi wa Kahama , amevunjika mguu wa Kushoto 18. Athuman s/o Gorge, (26) ,
Msukuma,Mfanyabiashara Mkazi wa
Nyarugusu amepata majeraha kichwani. 19. Pascal s/o Charles (46), Msukuma,
Mfanyabiashara , Mkazi wa Bukombe amepata majeraha kichwani. 20. Fotunata d/o
Fransis , (23) , Msukuma ,Mkulima, Mkazi wa Kahama, amepata maumivu kiunoni.
21. Fabian s/o Mlele , (50) , Msukuma, Mkulima Mkazi wa Kahama amevunjika mkono
wa Kulia 22. Mohamed s/o Mgaidi, (36),
Dereva mkazi wa Dar es salaam,
amevunjika miguu yote miwili. 23. Rashid s/o Juma, (34) Msukuma, Mfanyabiashara
, Mkazi wa kahama amepata majeraha mkono wa kulia. 24. Charles s/o Tabash,
Msukuma, Mkulima wa Kahama, amepata majeraha mgongoni 25. Rian s/o Hemedi (04),
Mwanafunzi wa Chekechea Mkazi wa Dar
es salaam maumivu mwili mzima, 26. Anastazia d/o
Mihayo (21) Msukuma, Mkazi wa Kahama amepata majeraha Kichwani.
Majeruhi wengine ni 27.
Jamilah d/o Mathias(31) Msukuma mkazi wa Kahama amepata majeraha mwili mzima
28. Doto d/o Jumapili (28) , Msukuma, Mkulima na Mkazi wa Nzega amevunjika mguu wa kushoto .29.
Pili d/o James, Msukuma, Mkulima mkazi wa Shinyanga ameumia Mgongo. 30.
Abdallah s/o Salanga (12), Mwanafunzi shule ya msingi Imani Kahama amepata
Jeraha Mguu wa Kulia. 31. Raphael s/o Nyasungo (59) , Mkurya, Mfanyabiashara ,amepata
jeraha jicho la kushoto. 32. Amani s/o Basheri (24) , Mnyamwezi, Mfanyabiashara
, Mkazi wa Nzega amepata jeraha kwenye paji la Uso 34. Martin s/o Andrea (30),
Msdukuma , Mfanyabiashara amepata jeraha paja la Kulia.35. Neema d/o Shedi
(26), Muha, Mfanyabiashara Mkazi wa Kahama ameumia kwenye mbavu na kiunoni. 36.
Enock s/o Frransis (04), Muha, Mwanafunzi, shule ya Msingi Amani Kahama 37.
Rahabu d/o Richard (44),Mnyiramba , Mkulima na Mkazi wa Shelui amepata maumivu mwili mzima. 38.
Fatuma d/o Isaya (24) Mnyiramba ,Mkulima, Mkazi wa Shelui, amepata michubuko
usoni 39. Saidi s/o Aluko (22) , Myao Mkulima na Mkazi wa Kahama ameumia mkono
wa kulia
Wengine ni 40. Revocatus
s/o Alzaki (03) , Mnyamwezi na mkazi wa Nzega ameumia shavu la kushoto 41.
Monica d/o Mihayo (30), Mnyamwezi , Mkulima na mkazi wa Nzega amepata maumivu
mdomoni. 42. Rebeca d/o Emmanuel (21) , Mnyisanzu, Mkulima na mkazi wa Shelui amepata maumivu mwili
mzima. 43. Sania d/o Belela (29) , Msukuma, Mkulima na mkazi wa Nzega amepata
majeraha usoni. 44. Desdelius s/o Charles (27), Msukuma, Mkulima na Mkazi wa Dar es salaam , ameumia
mbavu za kushoto 45. Suleman s/o Costable (39), Mmakonde , Mfanyabiashara Mkazi
wa Kahama amepata maumivu mwili mzima. 46. Mickdadi s/o Mussa (32) ,
Msukuma,Mkulima na mkazi wa Kahama amepata maumivu mikono yote na 47.Kulwa s/o
Jelad (26) , Msukuma, amepata maumivu mwili mzima na wengine 11 bado hawajatambuliwa
simu No. 0768 367454
0652 683063
Facebook. Machibya Richard.
No comments