Breaking News

ANGALIA HAPA PICHA ZA WASHIRIKI WA MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI ZILIZOFANYIKA MKOANI SINGIDA.

           Hapo juu ni picha za mabango yanayoonesha makundi ya washiriki
 na wadhamini wa mashindano



 Hapo juu ni picha ikimuonesha Mkuu wa Wilaya ya Singida aliyekaa katikati na 
nyuma ni watoto wenye ulemavu wa ngozi kutoka Kituo cha Urambo Mkoani Tabora,


Hapo ni picha ya Laurencia Luzuba  Mshindi wa kwanza wa wanawake a
kiwakilisha Mkoa wa Mwanza

          Hapo juu  ni picha ya Masunga Duba kutoka Mkoa wa Mwanza
 aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kundi la wanaume

 Hiyo ni pich aya Phil Harris Rais wa Shirika la Friendes & Family Comunity 
Connection akionesha furaha yake baada ya mshindano hayo kuisha.


Hiyo ni picha ya Mtoto akifurahia ushindi wake baada kuendesha baiskeli kwa umbali wa 
Km 10 na kuibuka mshindi wa kwanza

Baadhi ya watoto wenye ulemavu wa ngozi kutoka Kituo cha Urambo Tabora
 wakitoa burudani muda mfupi kabla ya mashindano ya mbio za baiskeli kuanz.



Washindi wa nafasi ya kwanza kundi la Watoto  Amour Husen na Abeid Selemani
 wote Kutoka Mkoani singida wakionesha zawadi zao baada ya kutwaa ushindi huo. 


Katika picha hiyo hapo ni waandaaji wa mashindano wakipeana tathmini fupi ya mashindano hayo.
            
           By.
                   Sylvester R. Machibya 
                                      Toa maoni yako kupitia
Email sylvestermac87@gmaili.com
sim no. 0768 367 454, 0652 683063.
Face Book Machibya Richard.
















No comments