Angalia hapa picha za Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Mkoa wa Singida akionyesha vifaa vinavyotumiwa na majambazi waliokamatwa Singida.
Na Sylvester Richard.
Toa maoni yako kupitia Anwani zifuatazo;
E mail - sylvestermac87@gmaili.com
- machibya.richard@yahoo.com
Sim. - 0768 367 454
- 0652 683 063
Na Sylvester Richard.
Hapo juu ni Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida ACP Simon S. Haule akionyesha baadhi ya vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na majambazi waliokamatwa huko maeneo ya Kitusha - Iramba katika kufungua milango ya magari na wao kufanikiwa kuiba.
Picha Na Sylvester Machibya.
Kama picha inavyoonekana hapo, anayeonekana katika picha ni Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida ACP Simon S. Haule akionyesha visu vilivyokuwa vikitumiwa na Majambazi waliokamatwa huko Kitusha - Iramba.
Picha Na SylvesterRichard
Toa maoni yako kupitia Anwani zifuatazo;
E mail - sylvestermac87@gmaili.com
- machibya.richard@yahoo.com
Sim. - 0768 367 454
- 0652 683 063
No comments