Breaking News

Angalia hapa picha za watu wanaoshikiliwa na Polisi Mkoani Singida kwa kosa la wizi wa pesa kwa njia ya mtanda.


 Hapo ni Picha inayowaonyesha watu watatu wanaoshikiliwa na Polisi Mkoani Singida kwa kosa la wizi wa pesa kwa njia ya mtandao Huko Kiomboi Wilayani Iramba ambapo Wao ni wakazi Jijini Dar es salaam.
Toa maoni yako kupitia.
E - mail sylvestermac87@gmail.com
   - mchibya .richard@yahoo.com
simu Na. 0768 367454
                0652 683063

No comments