HIZI HAPA NI PICHA ZA AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA OSAKA ILIYOTOKEA MAENEO YA MUHALALA , WILAYANI MANYONI MKOANI SINGIDA , AJALI AMBAYO ILISABABISHA VIFO VYA WATU WATATU WALIOKUWA WAKITO HUDUMA KWENYE GARI LILILOKUWA LIMEHARIBIKA KATIKATI YA BARABARA.
Hapo ni picha ya gari No. T.490 BDX/T591 BCV SCANIA lililokuwa limeharibika katikati ya barabara katika eneo la Muhalala, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida ambapo Basi la Kampuni ya OSAKA lililigonga watu watatu na kusababisha vifo vyao papo hapo na kuligonga gari hilo ubavuni kushoto na kukokosa mwelekeo na kuelekea vichakani.
Hapo ni picha ya Basi la Kampuni ya OSAKA lenye No.
T.163 SCANIA kama linavyoonekana vichakani baada ya kupata ajali katika eneo la Muhalala, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida.
T.163 SCANIA kama linavyoonekana vichakani baada ya kupata ajali katika eneo la Muhalala, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida.
Hiyo ni picha ya Basi la Kampuni ya OSAKA lenye No. T.163 SCANIA likionekana kwa nyuma baada ya kupata ajali katika eneo la Muhalala, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida.
No comments