Kwa maoni,ushauri,
habari, picha na matangazo wasiliana nasi kwa kupitia anwani zifuatazo’
- simu No. 0768
367 454/Whatspp
0652 683 063
Facebook, Machibya Richard
Hizi hapa picha za Mkuu wa Wilaya Mpya wa Manyoni Mkoani Singinda katika hafla fupi ya kuapishwa kwake.
Mkuu wa mkoa wa Singida,
Mhandisi Mathew Mtigumwe (kushoto), akimwapisha Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Geofrey Mwambe ambapo Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi
ya Mkuu wa Mkoa Mjini hapa.
Mkuu wa mkoa wa Singida,
Mhandisi Mathew Mtigumwe (kushoto), akimkabidhi nyaraka zitakazomwongoza kiutendaji Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Geofrey Mwambe muda mfupi baada
ya kumwapisha.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akimwelekeza Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Geofrey Mwambe mahali pa kutia sahihi katika nyaraka mda mfupi baada ya kumwapisha.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe (wa nne kutoka kushoto) katika picha ya pamoja. Wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Geofrey Mwambe mda mfupi baada ya kuapishwa.
No comments