Breaking News




Angalia hapa  picha za ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Mkoani Singida wakati wa ziara yake aliyoifanya kwa siku nne katika Mikoa minne.

Kama una habari, maoni, ushauri, matangazo na picha, tuma kupitia anwani zifuatazo;
-          machibya.richard@yahoo.com
-          Facebook – Machibya Richard
-          Sim no. 0768 367 454
-                        0652 683 063


 

Kikundi cha ngoma ya asili ya kabila la wataturu kikitumbuiza muda mfupi tu baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwasili katika kiwanja cha Tambukareli Wilayani Manyoni katika Mkoa wa Singida.




 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Manyoni  katika viwanja vya Tambukareli  Mkoani Singida wakati wa ziara yake siku ya tarehe 29 Oct. 2016.



 Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi kwa wananchi waliofika katika viwanja vya Tambukareli Wilayani Manyoni Mkoani Singida wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili katika Viwanja vya People's Singida Mjini siku ya tarehe 29.07.2016 akitokea Wilayani Manyoni. 



Kikundi cha Ngoma ya asili ya kabila la Wanyaturu kikitumbuiza muda mfupi baada ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwasili katika Viwanja vya  People's Singida Mjini.


No comments