IKULU JIJINI DAR ES SALAAM ANNA ELISHA MGWIRA AAPISHWA MKUU WA MKOA.
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN
POMBE MAGUFULI AMUAPISHA ANNA ELISHA MGWIRA, MKUU MPYA WA MKOA WA KILIMANJARO
JUNE 6, 2017
Angalia picha hapa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Mkuu wa mkoa kilimanjaro
Anna Elisha Mgwira akisoma hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa umma
mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira na viongozi mbalimbali ya serikali mara
baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Taifa Ndugu Rodrick Mpogoro akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Anna Elisha Mgwira Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa huyo
kwenda kuitekeleza ilani hiyo katika kazi yake ya Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June
6, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Anna Elisha Mgwira akiingia kwenye gari lake kwa ajili ya kwenda kuanza
kazi yake Mkoani kilimanjaro mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es
salaam June 6, 2017
No comments